BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Hatua ya bunge la Ulaya dhidi ya Tanzania ina maana gani?
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya umedumu kwa miongo kadhaa, ukijengwa juu ya misaada, mikopo nafuu, ushirikiano wa kibiashara na miradi ya mageuzi ya kiuchumi na kijamii.
Moja kwa moja, Putin azidisha matakwa yake kabla ya mazungumzo ya Ukraine na Marekani
Putin kwa muda mrefu amekuwa akishinikiza kutambuliwa kisheria kwa maeneo ya Ukraine ambayo Urusi iliyateka kwa nguvu.
Kutoka Zidane hadi Van Persie, makocha waliowapa 'ulaji' watoto wao
Robin van Persie anasema uamuzi wake wa kumkabidhi mtoto wake Shaqueel mechi ya kwanza katika mechi ya Ligi ya Europa dhidi ya Celtic Feyenoord ulifanywa "kama kocha" na si kwa hisia.
"Vijana wa Kiukraine wanaoshawishiwa kwa fedha mtandaoni kuishambulia nchi yao"
Vlad ni mmoja wa mamia ya watoto na vijana ambao serikali ya Ukraine inawashutumu kuajiriwa mtandaoni na Urusi na kulipwa kufanya vitendo vya uharibifu.
Hali ya Hezbollah mwaka mmoja baada ya kusitishwa kwa mapigano
Ripoti zinaashiria mvutano unaoongezeka kati ya Naim Qassem na Wafiq Safa, mkuu wa usalama wa ndani wa kundi hilo. Mgawanyiko huu unaonesha tofauti kati ya wanaotaka maelewano ya kisiasa na wale wanaopinga kabisa msimamo huo.
Afrika na zimwi la mapinduzi yasiyoisha
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita pekee, kumekuwa na takribani mapinduzi 10 Afrika, huku nchi za Afrika Magharibi zikiwa vinara wa mapinduzi hayo ya kijeshi katika bara hilo.
Rais Kagame aonyesha matumaini juu ya mazungumzo yaliyopangwa na Rais wa Congo
Hata hivyo, katika mahojiano na wanahabari mjini Kigali, alielezea wasiwasi wake kuhusu nia ya viongozi wa Congo, akisema kuwa siku za nyuma, wamekuwa na msimamo unaobadilika kuhusu walichokubaliana.
Rais aliyeondolewa madarakani wa Guinea-Bissau awasili Senegal
Umaro Sissoco Embalo pamoja na maafisa wegine waandamizi waliondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea siku ya Jumatano,
Bunge la Ulaya lapitisha azimio la kuitaka kamisheni kusitisha ufadhili kwa Tanzania
Hatahivyo, jukumu kuu la kusitisha ama kuendelea kuifadhili Tanzania lipo mikononi mwa kamisheni hiyo ya umoja wa Ulaya.
Tetesi za soka Ulaya: Man Utd, City macho kwa Vinicius Jr
Real Madrid inakaribia kufikia makubaliano mapya ya mkataba na Vinicius Jr baada ya mchezaji huyo kupunguza madai yake ya mshahara. Liverpool, Manchester City zamtaka Antoine Semenyo wa Bournemouth. Manchester City pia imeungana na Arsenal kuonyesha nia ya kumsajili Rodrigo Mendoza wa Elche.
Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025
Maswali 7 magumu kwa Waziri Mkuu kuhusu Oktoba 29 Tanzania
Idadi ya vifo, miili kutopatikana, tuhuma za kaburi la halaiki, utekaji, uhuru wa habari na madai ya hujuma za kiuchumi yalikuwa maeneo yaliyogusiwa na kujibiwa na Waziri Mkuu
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaitaka ICC kuichunguza serikali ya Tanzania
Muungano wa kimataifa wa wanasheria na makundi ya haki za binadamu umeiomba rasmi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumchunguza rais wa Tanzania, na serikali yake kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Gen Z Tanzania wanavyozima udini kwa utani na ubunifu
Kwa takribani wiki moja sasa, mijadala ya udini imechukua nafasi kubwa katika mazungumzo ya mtandaoni nchini Tanzania, kufuatia matamko ya baadhi ya viongozi wa dini kuhusu maandamano na mabadiliko ya kisiasa nchini humo.
Machafuko yaliyoshuhudiwa Tanzania yalichochewa kutoka nje- Waziri Mkuu
Serikali ya Tanzania, imedai kuwa maandamano yaliyosababisha maafa mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya taifa hilo, yalipangwa na kudhaminiwa na watu wenye nia mbaya na maslahi ya taifa hilo.
Maandamano Tanzania: Kwanini vuguvugu la Gen Z si la Tanzania peke yake?
Ripoti ya taasisi ya utafiti na maarifa ya Tricontinental imeweka bayana mambo saba yanayozungumzia harakati za kisiasa za Gen Z na namna wanavyoonesha na kuwasilisha malalamiko na hasira zao.
Zijue hoja 7 za kuchunguzwa kuhusu kilichotokea Oktoba 29 Tanzania
Rais Samia hakukubali wala kupinga hoja ya kuundwa kwa tume ya kimataifa, bali alisisitiza kuwa tume ya ndani iwe ya kwanza kufanya kazi ili timu zitakazokuja kutoka nje zishirikiane na watoa taarifa waliokwishaanza uchunguzi.
Serikali ya Tanzania yavikosoa vyombo vya habari vya kimataifa
Msemaji wa serikali ya Tanzania Gerson Msigwa amevikosoa vyombo vya habari vya nje akivitaka kufuata maadili ya habari.
Rais Samia: "Yaliyotokea yametutia doa"
Rais Samia alisema kuwa uchumi wa Tanzania bado unategemea kwa kiwango kikubwa mikopo ya nje, na kwamba sintofahamu ya kisiasa iliyojitokeza inaweza kurudisha nyuma jitihada za kusaka fedha nje
Jinsi polisi walivyotumia nguvu kuvunja maandamano Tanzania
Umoja wa Mataifa unasema mama ya watu waliuawa kwenye maandamano. Video tulizothibitisha zinaonyesha polisi walitumia nguvu kubwa katika katika harakati za kuzima maandamano hayo.
Jumuiya ya Madola yamteua Chakwera kuwa msuluhishi Tanzania
Maandamano ya siku 3 kuanzia Oktoba 29 , 2025 siku ya uchaguzi, yameacha alama kubwa inayoashiria mpasuko mkubwa wa kisiasa nchini humo.
Rais Samia atangaza 'msamaha' kwa vijana waliokamatwa kwenye maandamano
Akizungumza leo wakati wa kulifungua bunge, Rais Samia alisema kuwa vijana hao wengine walifuata mkumbwa hivyo waachiwe kwa utaratibu na kurejeshwa kwa familia zao.
Sikiza / Tazama
Huwezi kusikiliza tena
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Ligi ya Mabingwa: Jedwali, matokeo na timu zipi ziko mbioni kufuzu kwa awamu ya mtoano
Huku mashindano ya ligi ya mabingwa yakielekea katika raundi ya moandoano jumla ya mechi 18 zilichezwa siku ya Jumanne na Jumatano.
Simulizi ya Jasusi Mmisri aliyeipeleleza Israel kwa miaka 17
Baada ya Mapinduzi ya 1952, alikamatwa kwa udanganyifu. Ndipo Taasisi ya ujasusi ya Misri ukampa achague jambo moja ama kifungo au kuwa jasusi. Akachagua kuwa jasusi na akapelekwa Israel
Nani wa kuizuia Arsenal msimu huu?
Siku mbili baada ya sare ya kustaajabisha ya The Gunners dhidi ya Sunderland kuwapa wapinzani wao wa Ligi Kuu matumaini mapya, ushindi wa Jumapili dhidi ya Tottenham umewarudisha kwenye kilele.
Tetesi za soka Ulaya: Vinicius agoma kusaini mkataba mpya Madrid
Vinicius Junior hatasaini mkataba mpya kusalia Real Madrid, Manchester United na Liverpool wataendelea kumfuatilia, huku Liverpool ikiwa tayari imefanya mazungumzo ya moja kwa moja kuhusu usajili wa Antoine Semenyo.
Kuwasaka wauaji na wauzaji wa viungo vya miili ya binadamu kwa ajili ya 'matambiko'
Huku familia nyingi zikiachwa na kiwewe kutokana na mauaji yanayohusishwa na mila za kichawi nchini Sierra Leone, BBC Africa Eye inachunguza wale wanaofanya biashara ya viungo vya mwili wa binadamu.
Kwa nini wanawake hawawaoneshi wapenzi wao kwenye mtandao?
Wafuasi zaidi ya 33,000 wa Tawana Musaburi kwenye ukurasa wake wa Instagram wanaweza kudhani kuwa wanajua kila kitu kuhusu maisha yake, lakini wengi wao hawajaona uso wake.
Kwa nini Trump ameshindwa kumshawishi Putin kumaliza mzozo wa Ukraine?
Mwanzoni mwa muhula wa pili wa Trump, kwa mara ya kwanza tangu Urusi ivamie Ukraine kikamilifu, serikali za Marekani na Urusi zilifanya mazungumzo ya ana kwa ana.
"Kazi yetu ni kuua tu"
Mwezi Oktoba, picha zinaonyesha mwanaume akiwa amefungwa mikono na miguu na kuning'inizwa kichwa chini miguu juu kwenye minyororo ya chuma.
Kwa nini Papa anataka 'kusahihisha' sifa ya Bikira Maria, mama yake Yesu?
Marekebisho kuhusu sifa na hadhi ya Maria hayakulenga kupinga makanisa ya kiinjili, bali kutoa uelewa wazi kuwa Kristo pekee ndiye Mwokozi na Mpatanishi, jambo linalosaidia kuondoa changamoto za kimtazamo wa kitheolojia.
Kwa nini Trump sasa anataka faili za Esptein ziwekwe hadharani?
Trump amekuwa akikabiliwa na uwezekano wa uasi baada ya idadi kubwa ya Wabunge wa Republican kuashiria kuwa watapiga kura kuunga mkono kuachiliwa faili hizo licha ya upinzani wa hapo awali wa rais huyo.
Droni za ajabu zinazoonekana usiku katika viwanja vya ndege Ulaya. Je, tunapaswa kuwa na wasiwasi?
Kuonekana kwa ndege zisizo nchini Poland, pamoja na Ubelgiji na Denmark, kumezua hofu katika baadhi ya nchi za Nato.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, MBELE Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Novemba 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 28 Novemba 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 28 Novemba 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 27 Novemba 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani







































































