LGBT
Mandhari

LGBT (au LGBTQIA+) ni kifupisho cha Kiingereza kinachojumlisha watu wanaojiona au kujiita wasagaji, mashoga, wapenzi wa jinsia mbili, waliobadili jinsia, kuchu, mahuntha, na wasio na nyege.
Watu hao pengine wanabaguliwa.[1]

Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Cameroun : Hausse des violences à l'encontre de personnes LGBTI". Human Rights Watch (kwa Kifaransa). 2022-05-11. Iliwekwa mnamo 2022-08-07.