Kiwango
Mandhari
Kiwango (kwa Kiingereza: level) ni kipimo au hali ya kutathmini au kulinganisha kitu au hali fulani na nyingine. Kinaweza kikawa cha juu mno au cha chini mno.
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |