Howard Lutnick
Mandhari
Howard William Lutnick (Alizaliwa Julai 14, 1961) ni mfanyabiashara bilionea nchini Marekani na afisa wa serikali ambaye amehudumu kama Waziri wa 41 wa Biashara wa Marekani tangu mwaka 2025.[1] Yeye ni rais na afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya huduma za kifedha Cantor Fitzgerald.[2] Katika mashambulizi ya Septemba 11, Cantor Fitzgerald ilipoteza wafanyakazi 658, ikiwemo kaka yake Gary.[3] Lutnick alikuwa mtayarishaji mkuu wa chama cha Republican na alihudumu kama mwenyekiti mwenza wa timu ya mpito ya Donald Trump.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Howard Lutnick, Allison Lambert". The New York Times. Desemba 11, 1994. Iliwekwa mnamo Februari 13, 2025.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ West, Melanie (Septemba 10, 2014). "Evolving a Sept. 11 Charity". The Wall Street Journal. Iliwekwa mnamo Februari 19, 2025.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Howard Lutnick's Second Life". New York Magazine. Iliwekwa mnamo 2026-04-21.
- ↑ Snyder, Susan (Oktoba 25, 2014). "Haverford gets record gift from an alum the college helped save". The Philadelphia Inquirer. Iliwekwa mnamo Februari 15, 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Howard Lutnick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |