Nenda kwa yaliyomo

Dilma Rousseff

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dilma Vana Rousseff (alizaliwa 14 Desemba 1947), anajulikana zaidi kwa jina la Dilma, ni mwanauchumi na mwanasiasa wa Brazil kutoka chama cha Workers' Party PT. Alifanya kazi kama Rais wa 36 wa Brazil kuanzia mwaka 2011 hadi alipoondolewa madarakani kwa mchakato wa kisheria (impeachment) tarehe 31 Agosti 2016.[1] Yeye ndiye mwanamke pekee kuwahi kushika wadhifa wa urais katika historia ya nchi hiyo hadi sasa.[2]


  1. Taub, Amanda (31 Agosti 2016). "All Impeachments Are Political. But Was Brazil's Something More Sinister?". The New York Times. Washington.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Dilma, 1ª mulher presidente e única economist em 121 anos de República". BOL Notícias (kwa Kireno (Brazili)). Rio de Janeiro: Universo Online. 31 Oktoba 2010.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dilma Rousseff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Dilma Rousseff
Morty Proxy This is a proxified and sanitized view of the page, visit original site.