Christopher Tolkien
Mandhari
Christopher John Reuel Tolkien (Novemba 21, 1924 – Januari 16, 2020) alikuwa mhariri, mwandishi, na msanii wa Uingereza mwenye uraia wa Ufaransa. Mtoto wa mwandishi J. R. R. Tolkien, alihusika katika uchapishaji wa baada ya kifo cha baba yake Aliteuliwa kuwa mtekelezaji wa kifasihi wa baba yake mwaka 1967. Aliendelea kuhariri na kuchapisha kazi za baba yake, ikiwemo The Silmarillion (1977) na mfululizo wa 12 wa The History of Middle-earth (1983-1996). Alichora ramani za awali za riwaya ya baba yake The Lord of the Rings.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "'First Middle-earth scholar' Christopher Tolkien dies". BBC News. 16 Januari 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Januari 2020. Iliwekwa mnamo 17 Januari 2020.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Christopher Tolkien, keeper of his father's legacy, dies at 95". The New York Times. 16 Januari 2020.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christopher Tolkien kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |