1904
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| ►
◄◄ |
◄ |
1900 |
1901 |
1902 |
1903 |
1904
| 1905
| 1906
| 1907
| 1908
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1904 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 4 Februari - MacKinlay Kantor, mwandishi kutoka Marekani
- 2 Machi - Theodor Seuss Geisel (anajulikana hasa kama Dr. Seuss, mwandishi Mmarekani kwa watoto)
- 5 Aprili - Richard Eberhart, mshairi kutoka Marekani
- 6 Aprili - Kurt Georg Kiesinger, Chansela wa Ujerumani (1966-1969)
- 6 Mei - Harry Martinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1974
- 11 Mei - Salvador Dali, mchoraji kutoka Hispania
- 12 Julai - Pablo Neruda, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1971
- 14 Julai - Isaac Bashevis Singer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1978
- 28 Julai - Pavel Cherenkov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
- 7 Agosti - Ralph Bunche, mwanasiasa Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1950
- 16 Agosti - Wendell Stanley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946
- 20 Agosti - Werner Forssmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
- 21 Agosti - Count Basie, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 3 Oktoba - Charles Pedersen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 16 Novemba - Nnamdi Azikiwe, Rais wa kwanza wa Nigeria
- 21 Novemba - Coleman Hawkins, mwanamuziki kutoka Marekani
- 22 Novemba - Louis Neel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970
- 25 Desemba - Gerhard Herzberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1971
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 13 Aprili - Vasili Vereshchagin, msanii mchoraji kutoka Urusi
- 1 Mei - Antonín Dvořák, mtunzi wa muziki kutoka Ucheki
- 10 Mei - Henry Morton Stanley, mwandishi wa habari kutoka Welisi na Marekani aliyesafiri hasa Afrika Mashariki
- 15 Julai - Anton Chekhov, mwandishi Mrusi
- 24 Septemba - Niels Ryberg Finsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1903
